Burudani

Video: Mfahamu vizuri Mozeh Thomas anayetamba na wimbo ‘Solemba’

Kuna wimbo mpya unafanya vizuri sana kwa sasa redioni na kwenye TV. Huenda umeshausikia sehemu lakini ukawa umeshindwa kumfahamu nani aliyeuimba.

Kijana huyo anaitwa Mozeh Thomas, anayetokea Mwanza lakini kwa sasa yupo Dar ambapo amekuja kutafuta maisha kupitia muziki. Wimbo wake unaitwa Solemba. Sikiliza mahojiano niliyofanya naye hapo juu uwezo kumfahamu zaidi. Mozeh ana kila dalili ya kuja kufanya vizuri sana Tanzania.

Itazame video ya wimbo wake Solemba hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents