Habari

Video: Mwigizaji Idris Elba kwenye trailer ya filamu ‘Long Walk to Freedom’ kuhusu Nelson Mandela

Huu ni ujio wa filamu mpya kuhusiana na maisha na harakati za mpigania haki maarufu wa barani Afrika, Nelson Mandela ‘Long Walk to Freedom’ ambayo mhusika mkuu ni muigizaji wa nchini Uingereza Idris Elba.

http://youtu.be/hmm-aazQQKA

Mbali ya kugusia harakati pia filamu hiyo inagusia maisha ya binafsi ya kiongozi wake ikiwepo mahusiano yake na Winnie ambaye ni mke wake wa zamani.

Filamu hiyo imeongozwa na Justin Chadwick na itakuwa moja kati ya filamu kadhaa ambazo tayari zimekwishafanyika kuonyesha maisha ya Mandela.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents