Habari

Video: Rais Magufuli aweka wazi faini atakayolipa yeyote atakayetoa Takwimu za uongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt John Pombe Magufulia amewaonya waandishi wa habari na wanasiasa kwa kuacha kutoa takwimu za uongo kwa wananchi. Huku akiweka wazi kiasi cha faini mtu anachotakiwa kulipa baada ya kutoa takwimu hizo. Tazama video hii akieleza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents