Burudani
Video: Trailer ya mwisho ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’
Hii ni trailer mpya na ya mwisho ya filamu mpya ya James Bond, ‘Spectre’ ambayo imetoka mtandaoni Oct.2. ‘Spectre’ inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema ya Marekani Nov.6.