Burudani
Video: Vanessa Mdee akifreestyle
Vanessa Mdee ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Niroge’ aliwahi kusema kipindi cha nyuma kuwa ana kipaji pia cha kurap na pia aliwahi kushirikishwa na DJ Choka kwenye wimbo ‘Press Play’ ambamo alirap.
Hivi karibuni staa huyo alikuwa akifreestyle kwenye kipindi cha Official Naija Top 10 cha MTV Base. Angalia hapa video alivyoonesha uwezo huo.