Burudani

Video: Wakazi kuhusu matabaka kwa Wasanii, ‘Sisi zetu bajaji na boda wengine Range’

Msanii wa muziki wa hip hop, Wakazi amefunguka kuzungumzia mapokezi ya albamu yake ya ‘Kisimani’ pamoja na namna anavyoyapokea baadhi ya matabaka katika muziki wa hip hop kama la baadhi ya wasanii wa muziki huo kukusanya pesa nyingi wakati wenzao ambayo wanafanya muziki wa aina hiyo wakila msoto.

Rapa huyo amedai hilo halioni kama ni tatizo kwani muziki upo kwenye soko huria hivyo kila msanii ana bei yake kwa kuwa yeye mwenyewe ndiye mwenye nafasi ya kufanya makubaliano na wadau wa muziki ambao wanamjia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents