Burudani

Video ya wasanii wa Ghana iliyoshutiwa Zanzibar na director Justin Campos akisaidiwa na Hanscana na Khalfani

Muongozaji wa video Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films ya Afrika Kusini alikuja Zanzibar mwezi June mwaka huu kufanya video ya kundi la muziki kutoka Ghana liitwalo Konfi.

Justin na Hanscana
Justin Campos, Hanscana na Khalfani

Campos alikuwa na wenyeji wake ambao ni ma-director wa Tanzania, mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 Hanscana na Khalfani ambao ndio aliwachagua wamsaidie katika zoezi zima la kushoot. Video ya kundi hilo ni ya wimbo uitwao ‘Wonohard’.

Mtandao wa Ghana (modernghana.com) umeandika:

“The hip life group Konfi has finally released their much anticipated “wonohard” video which was shot in Zanzibar Tanzania on both international and local TV stations.

The video which is sub titled “Return of the street kings” is seen as a combination of the East,South and West African minds.

Konfi from Ghana ,international award winning director Justin campos and also the helping hands of award winning Tanzania director Hanscana for the behind the scenes . They promise Ghanaians good music upon their return and also urge them to follow the group on all social media platforms for updates.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents