Michezo
Video: Yanga SC ilivyotua Dar ikitokea Shelisheli
Kikoai cha Yanga SC kilivyo wasili nchini kikitokea Shelisheli katika michuano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika, licha ya kutoka sare ya bao 1 – 1 dhidi ya St Louis wanajangwani wamefanikiwa kusonga mbele baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 1 – 0 mchezo uliyofanyika Dar es Salaam.