Habari
Vifo vya watu 11 Kagera vyamgusa Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametumia salama za rambirambi kufuatia vifo vya watu 11 mkoani Kagera ambavyo vimetokana na ajali ya barabarani.