Habari

Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.

wanandoa Bangkok-1

Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

Wanandoa Bankok

wanandoa Bangkok-2

wanandoa Bangkok-3

Chanzo: Daily Mail

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents