Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atamani kuona pambano la Mwakinyo na Twaha Kiduku (+ Video)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Serikali amewapongeza bondia Twaha Kiduku na Hassan Mwakinyo kwa kupata ushindi kwenye mapambano yao ya hivi karibuni huku akichombeza pambano kati ya wababe hao wawili.

Related Articles

Back to top button