Habari

Weekly Round-Up: Sikiliza kipindi cha mkusanyiko wa habari za wiki (July 15-19) hapa Bongo5 (Audio)

Tunafahamu kwamba kuna wasomaji wetu wengi ambao huwa wanakuwa na majukumu mengi katikati ya wiki kiasi cha kuwafanya washindwe kuwa wanasoma habari ‘zote’ tunazoziweka hapa Bongo5. Kwa kulizingatia hilo tumeona si vibaya kama tutakuwa tunarekodi kipindi cha BONGO5 WEEKLY ROUND-UP, kipindi ambacho kitakuwa na mkusanyiko wa yale tuliyoandika wiki hii ili kwa yeyote ambaye huenda alipitwa na habari tulizoziandika aweze kuzisikiliza kwa (Audio).

weekly roundup-2

Bongo5 Weekly Round-Up itakuwa inahusisha zaidi zile (most interesting stories) za wiki kwa ufupi na itakuwa ni sehemu ya (Bongo5 Radio).

Kipindi cha leo cha Weekly Round-Up kinahusisha habari tulizoziandika kuanzia Jumatatu (July 15) hadi jana Ijumaa (July 19). Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents