Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Wema Sepetu: Nilikutana na Whozu akiwa sinngle, sikuharibu mahusiano yake na Tunda

Mwanamitindo na msanii wa Bongo Movie @wemasepetu amefafanua kwa urefu zaidi namna mahusiano yake na @whozu_ yalivyoanza.

@wemasepetu ameeleza kuwa wakati anakutana na @whozu_ na kuanza kumtongoza kipindi kile @whozu_ hakuwa kwenye mahusiano yoyote.

Pia ameongeza kuwa @whozu_ baada ya kumtongoza ilichukua takribani miaka miwili hadi kumkubalia.

Jana kwenye Iftar yake Tz Sweetheart @wemasepetu aliulizwa na @el_mando_tz kuhusu ukaribu wake na mastaa mbalimbali maana wengi hawakuhudhuria kwenye Iftar yake.

Lakini pia aliulizwa kuhusu yale maneno ya mtandaoni kuwa ana ugomvi na @hamisamobetto

@wemasepetu ameweka wazi kabisa kuwa hana ugomvi wowote na @hamisamobetto na ndio maana hata kwenye Iftar yake alimualika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents