HabariMichezo

Wiki ya wapenda soka, Odds Nono kwa mechi zote Unazipata Meridiabet

Hii ni wiki ya Copa del Rey, EPL, SERIE A, mechi kubwa Zaidi ni usiku wa Alhamis pale ambapo Chelsea na Mamchester City watakipiga. Meridianbet wameamua kukupa furaha mteja waokwa kumwaga Odds nono kwenye mechi zote.

Hizo Odds Nono za Meridianbet Zinapatikanaje?

Ukibashiri mechi za wiki hii kwenye mashindanombalimbali utajionea jinsi ambavyo Odds Nono kutokaMeridianbet zilivyoongezwa mara nyingi Zaidi.

 

AC Milan wakiwa kwenye sehemu nzuri ya msimamo waSerie A wakiwa nafasi ya 2 wakiwa wamepoteza mechimbili tu kati ya 18 walizocheza, watakuwa ugeninikucheza dhidi ya Sportiva waliopo nafasi ya 12, wakipoteza michezo 6. Meridianbet wakongwe wamichezo ya kubashiri jiunge sasa na Mabingwa.

 

AS Roma ya Jose Mourinho wakiwa kwenye nafasi ya 7, watakutana na Bologna wa nafasi 11, Mourinho anaaminika Zaidi kwenye timu yake lakini safari hiianaenda kukutana na timu sumbufu kwenye Serie A. Odds nono zimejaa kwenye mechi hii. Bonyeza hapakuona.

 

Juventus atakipiga na Cremonese mwenye Odds nono ya4.90 huku sare ina 3.62 na ushindi kwa Juventus una Odds nono ya 1.71. Unasubiri nini Rafiki, weka ubashiriwako. Pia Lecce watakipiga na Lazio mapema sana midaya jioni ushindi n mkubwa kwenye mechi hii.

 

Kwenye EPL moto utawaka ni Southampton dhidi yaNottingham Forest, huku upande wa pili ni Aston Villa watakipiga na Wolves ana Odds nono ya 3.72 naushindi kwa Villa ana 2.01. Jiunge na Meridianbetwababe wa Odds nono.

 

Mechi kubwa ya kukata na shoka ni Inter Milan dhidi yaNapoli ni mechi ya kufungua mwaka 2023, Napoli anaongoza Ligi huku Inter anashika nafasi ya 5, Odds nono ziko hivi Inter ana 2.35 kwa ushindi, Sare ina 3.38 na Ushindi kwa Napoli una 2.94 unaanzaje kuzikoza hizikwa mfano.

 

Ukitupa jicho kule Hispania kuna mechi za Copa Del Rey ni Barcelona akiwa ugenini kukipiga na Intercity, Real Oviedo vs Atletico Madrid, Sevilla atakutana naLinares ugenini. Bashiri na Meridianbet ujizolee Odds bomba.

 

Mechi ya Kibabe ni Chelsea vs Man City

Ni katika dimba la Stamford Bridge sehemuitakayoikutanisha miamba ya EPL, ni vita ya mbinu katiya Graham Potter na Pep Guardiola mbinu za kochagani zitafanikiwa mbele ya mwenzake? Chelsea ana odds nono ya 4.90 huku sare ikiwa na 3.92 na ushindi kwa City una 1.65. Bashiri hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents