Kocha mpya wa @simbasctanzania Robertinho akikata kiu huku akishuhudia timu yake ikipokea kipigo cha goli 1-0 mbele ya Mlandege goli lilofungwa na mchezaji Abubakar Mwadin 75’ michuano ya Mapinduzi Cup