Burudani

Wiz Khalifa ajiachia na mrembo mpya

Hata uwe msela vipi ila lakini linapokuja suala la mahusiano lazima usela upungue kidogo, hivyo hivyo hata kwa mtu mzima Wiz Khalifa ameonyesha kuzama kimahaba kwa mrembo mpya aitwaye Izabela Guedes , baada ya kumwaga na baby mama wake Amber Rose.

Wiz ambaye amekuwa hapendi kuweka mambo yake hadharani alikuwa na mrembo huyo katika fukwe za bahari za maeno ya Hawaii na baadae kufanya mitoko ya kawaida kufurahia penzi lao.
Kwa sasa rapper huyo ameonyesha kuwa katika penzi jipya wakti huo huo Amber Rose naye yupo katika penzi jipya na rapper 21 Savage.

Picha zaidi:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents