Burudani

Yaliyowahi kumkuta Jennifer Lopez kwa Mariah Carey yawakuta wasanii wengine

Baada ya Mariah Carey kuwahi kutamka kuwa hamfahamu Jennifer Lopez, sasa Ariana Grande, Miley Cyrus na Demi Lovato hawajulikani pia kwa muimbaji huyo.

Japo waimbaji hao ni maarufu kwa sasa duniani lakini Carey amemuambia mtangazaji wa kipindi cha Watch What Happens Live, Andy Cohen kuwa hawafahamu wasanii hao kwa kuwa huwa anatumia muda mwingi kusikiliza zaidi muziki wa Hip Hop kuliko wa Pop.

“I don’t know her either so I wouldn’t say anything to her. She should come up, introduce herself to me, say, ‘Here’s my opinion. What do you think about it?’ That’s how you handle shit. Okay?”

“I think we met in a bathroom once,” alisema haya alipoulizwa kuhusu Miley. “I don’t know. I’ve performed on that show a lot of times, [with] Aretha Franklin, Diana Ross… How am I supposed to remember everybody else? Child, I don’t know when early in her career was. I don’t know. I really don’t. Honestly, I’m not familiar. I listen to hip-hop more than I listen to pop music,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents