Burudani

Video: Kutana na watangazaji wa kipindi cha The Base – ITV

The Base ni kipindi cha burudani kilichojipatia umaarufu mkubwa kwenye kituo cha runinga cha ITV. Kipindi hicho sasa kimetimiza mwaka mmoja tangu kianzishwe. Nimepiga story na watangazaji wa kipindi hicho, Aloy Sizya, Emmy na DJ wao, Seven kuhusu mafanikio ya kipindi hicho. Fuatilia interview hiyo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents