HabariMichezo

Yanga wana 50% kushinda mechi na Al Ahly

Disemba 2 Yanga SC anampokea bingwa mtetezi wa ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly ambaye mchezo wa kwanza dhidi ya Madeama ameshinda na Yanga akipoteza mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya CR Belzoudad.

Lakini roundi hii Yanga yupo uwanja wa Nyumbani Mkapa uwanja ambao msimu uliopita kwenye kombe la shirikisho alishinda michezo yote lakini kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa hatua ya makundi Yanga anawastani mzuri wa kushinda uwanja wa Nyumbani je kuendeleza ubabe wake?

YANGA SC 1-1 MANNING RANGERS
YANGA SC 3-3 RAJA CASABLANCA
YANGA SC 0-3 ASEC MIMOSAS
YANGA SC 1-0 TP MAZEMBE
YANGA SC 1-1 MADEAMA
YANGA SC 1-0 MO BEJAIA
YANGA SC 0-0 RAYON SPORTS
YANGA SC 2-3 GOR MAHIA
YANGA SC 2-1 USM ALGER
YANGA SC 3-1 TP MAZEMBE
YANGA SC 2-0 REAL BAMAKO
YANGA SC 2-0 US MONASTIR

Je kwa kiwango cha Sasa Cha Yanga SC na Al Ahly unaona mechi kwa Mkapa Wananchi watafanikiwa kuondoka na alama tatu?

Credit by Isayah Dede

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents