Yanga yaitikisa Kigoma, mapokezi yake usipime (+Picha)

Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili salama mkoani Kigoma na kupokelewa na mamia ya wanachama, mashabiki na wapenzi wa timu hiyo ya wananchi.

Yanga ipo mkoani Kigoma tayari kuwavaa watani wao wa jadi Simba SC ambao wenyewe wanasafiri leo jioni kuelekea huko kwaajili ya mchezo wa Fainali ya FA.

Related Articles

Back to top button