Diamond PlatnumzVideos

Diamond to perform first ever exclusive solo concert at Mlimani City


Kuonesha kwamba wasanii wetu wanaweza na wanastahili pia kufanya show za kishua, Rais wa Wasafi Diamond Platnumz ameamua kuangusha concert kali sana ndani ya ukumbi wa Mlimani City tarehe 30 mwezi huu.

Ni mara ya kwanza kwa msanii wa kibongo kufanya show ndani ya ukumbi huo akiwa peke yake, kwa vile siku zote tumezoea kuwaona wakisindikiza wasanii kutoka nje ya nchi.

Kiingilio kitakuwa elfu 50 kwa mtu mmoja na kwa wanaotaka kununua meza ya watu 8 watalipa laki 4 tu. Tickets zinapatikana Shear Illusions (Mlimani City), Kikis Fashion, Novel Idea (Steers) na Zizzou Fashion (Victoria).

Mjipange kwa red carpet ya Diamonds are Forever, hii concert si ya kukosa!!

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=HAU1U0BT-Gw[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents