Habari

Dkt Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Video)

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John pombe Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Tanzania katika viwanja vya jamuhuri Dodoma.

Viongozi mbali mbali na raia wa Tanzania pia wameshuhudia tukio hilo

https://youtu.be/kHeUG6LQMpU

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents