filamu ya Machweo, kuzindulia New Maisha Club

preess2

Wanamuziki mbalimbali wanatarajia kukutana siku ya juma pili pale New Maisha Club, kwaajili ya uzinduzi wa filamu mpya ya Machweo ambayo inazungumzia maisha ya wasanii.

Katika usiku pia mwanamuziki Fid Q, anarajia kuperform kwa wimbo wake wa Ielewe mitaa, huku wasanii wengine nao wakionyesha uwezo wao.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW