DStv Inogilee!

Gigy Money afunguka “Bora kufanya kazi na Diamond kuliko Alikiba, alinitenga Kahama” (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Gigy Money amefunguka mwanzo mwisho kuhusu kufanya kazi na wasanii wawili wakubwa nchini.

Msanii huyo amefunguka kuhusu kufanya kazi na Diamond pia na Alikiba na kusema kuwa “Alikiba anakunja sana kuliko Diamond na siku wameenda kufanya wote show Kahama, Alikiba alimtenga back stage”

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW