Michezo
Hatimaye Oscar Pistorious atolewa jela
Mwanariadha mlemavu wa Afrika kusini, Oscar Pistorious ameachiwa kutoka jela Jumatatu usiku Oct.20.
Pistorious ambaye alikaa jela kwa takribani mwaka mmoja, atamalizia kutumikia kifungo kilichobaki nyumbani kwa mjomba wake jijini Pretoria.
Oscar Pistorious (28) alihukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwaka 2013.
Source: BBC