Soka saa 24!

Hemed, Msechu kufuana Tusker Project Fame

tusker_project_fame-all_stars-

Mwanamuziki wa Peter Msechu ambaye aliwahi kuvuma katika shindano la Bongo Super Star mwaka 2009, na baadaye kuchalia kuwania katikka mashindano Tuskaer Project  fame mwaka jana nchini Kenya atachuana vikali na mwanamuziki mwenzake toka Tanzania Hemed katika Tamasha hilo la Tusker Project Fame All Star 2011

 

Wasanii hao wote wa wawili wamukuwa wakitegemea sana kura za Tanzania kama sehemu ya nchi yao kuwapigia kura sasa hivi wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kura hivyo kugawanywa kwa watu wawili.

Tamasha hilo la mwaka 2011, linategemea kufanyika Kenya na wanamuziki watakao kuwepo toka Marekani ni Usher Rymond na Keri Hilson

.mmsechu

wasanii wengine ni Tusker Project Fame’s Tusker All Stars 2011  ni  Hemedi Suleiman [TPF2] wa  Tanzania na  Peter Msechu [TPF4]  kutoka  Uganda ni  Davis Ntare [TPF4 Winner]  na  dance-diva Caroline Nabulime[TPF3] also joined the star-studded cast of contestants. Kenyan contestants of 2011’s TPF will be Amileena Mwenesi [TPF4], Bernard Ng’ang’a ‘Ng’ang’alito’ [TPF3] and Patricia Kihoro [TPF3]. Rwanda’s Alpha Rwirangira [TPF3 Winner] will also be joining Tusker Project Fame 2011.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW