Siasa
JPM: Navua kofia mnione naweza nikajipatia mchumba hapa,mimi ndiyo John Pombe Magufuli ninawaomba kura zenu ndugu zangu wa Bunda (+Video)
“Mnataka mnione mimi ngoja nivue kabisa na kofia naweza nikajipatia na mchumba hapa, umeniona mama, basi mimi ndiyo John Pombe Magufuli, ninawaomba kura zenu ndugu zangu wa Bunda, Bunda ninaipenda”