Soka saa 24!

Kelvin aibiwa

Zola_akiwa_na_Kerven_wakiwa_ulingoni

(Kelvin aliyevaa kofia akiwa na Zola D siku ya pambano ambalo Zola ilibidi apambane na Kiza kinene)  Msanii aliyewahi kufanya vizuri kwenye filamu na maigizo Tanzania Kelvin, amewalalamikia wasanii wenzake kwa vitendo vya ubaguzi.

Nyota huyo alisema amesaidia wasanii wengi kutoka kupitia mgongo wake lakini sasa wanamdharau.

Alisema hayo baada ya msanii mmoja maarufu kuigiza filamu yake, lakini baadaye kumzungusha katika kupiga picha ya Kava.

“Wasanii tunakuwa hatukumbuki wapi tulipotoka, hivyo tunajisahau haraka  na kukosa ushirikiano” alisema.

Hivi karibuni msanii huyo, aliibiwa  video Production, filamu zilizokamilika saba na kompyuta na fundi aliyekuja kutengeneza kompyuta hiyo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW