Tragedy
Mama Mpoto afariki dunia
Tumepata habari kwamba mama yake mzazi Mrisho Mpoto, Mwanaisha Mrisho, amefariki dunia leo hii. Pole sana Mpoto, Mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi.
Nachukuwa nafasi hii kuwapa mkono wa rambi rambi na pole nyingi kwa wafiwa, ndugu na jamaa na marafiki wote.