Tragedy

Mr Blue aondokewa na mama yake

mr_blue

Msanii wa kizazi kipya Mr Blue ‘Kabaisa, Babyloom’ juzi siku ya juma mosi amepatwa msiba na mama yake mzazi Bi Halima, ambaye alifariki dunia mchana wakati msanii huyo akiwa kwenye tamasha la Epiq Nation lililokuwa likifanyika Zanzibar.

Mama wa mwanamuzki huyo alizikwa siku ya jumapili….. Bongo5 na wadau wote tunamtakia moyo wa uvumilivu kipindi hiki kigumu, awe na moyo wa subira na uvumilivu.
Amin……..

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents