Bongo5 Exclusives

Msichana ‘mrembo’ wa Brazil anadi ‘ubikira’ wake ili kusaidia wenye shida

Call it having sex for a good cause.

Msichana mweye miaka 20 na mwanafunzi wa chuo wa nchini Brazil ameamua kuunadi ubikira wake kwa mtu atakayetoa dau kubwa katika nia yake ya kupata fedha za kujenga makazi ya familia maskini kwenye mji wake.

Catarina Migliorini anatarajia kuitoa fedha hiyo itakayopatikana kwa mtu mwenye dau kubwa ambalo kwa sasa linashikiliwa na mmarekani Jack Mille aliyepanda hadi dola 160,000 kwa shirika lisilo la kiserikali ambalo litajenga makazi mapya kwenye jimbo la kusini mwa Brazil la Santa Catarina.

http://www.youtube.com/watch?v=0yOKmenkUCM

akisisitiza kuwa yeye si malaya na kwamba anafanya hivyo kuleta mabadiliko chanya katika duniani,mwanafunzi huyo wa elimu amesababisha mino’ngono mingi baada ya watengenezaji wa filamu wa nchini Australia kuanza kumfuata kila aendako ambao wanaanda makala waliyoipa jina la “Virgin’s Wanted.”

‘The auction is just business, I’m a romantic girl at heart and believe in love. But this will make a big difference to my area,’ alisema Catarina.

Mtu atakayeshinda mnada huo atapimwa magonjwa ya zinaa na atamtoa ubikira msichana huyo wakiwa juu ya ndege itakayosafiri kutoka Australia hadi Marekani katika jitihada za kuepuka sheria zozote za uchangudoa. Condom itatumika.

Watu wengi wamechukizwa na mpango wa binti huyo na kutoa maoni yao kupitia YouTube ilipo video ya msichana huyo.

“She is a prostitute doesn’t matter you only did it once she wants sex for money,imagine f****g this chick in the plane she will be screaming , bleeding and more for that much money i gotta hit all night.”

“Expensive prostitute, what proof does she have that she is a real virgin anyways? If she’s a real virgin her p***y would be tight as hell, unless she claims she masturbated with a dildo which than doesn’t make her a full blooded virgin in my books.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents