Muziki
Music: Selebobo f/ Davido – Waka Waka
Baada ya kimya kirefu kwenye muziki, mtayarishaji na msanii wa muziki nchini Nigeria, Selebobo ameachia wimbo wake mpya ‘Waka Waka’ aliomshirikisha Davido. Usikilize hapa chini.