Bongo Movie

Mzee Magari ajiita Mzee wa Masauti

magari
Baada ya kuibuka majina mengi kama Vijana wa Masauti, mwalimu wa Masauti, rais wa masauti lakini sasa, msanii wa filamu Tanzania Charles Magari maarufu kama mzee Magari amesema yeye kwa sasa anatambulika kama Mzee wa Masauti, pia ameazisha kampuni yake ya  filamu inayoitwa Masauti Sample Film ikifanya kazi ya kuedit na kushoot Movie.


Mwigizaji huyo anatumia jina hilo hasa kutokana na sauti jinsi ilivyokuwa nzito na kuweza kuitumia kisanii zsaidi kiasi na kuleta mvuto wa aina yake.  Anasema kwa sasa analengo la kutoa vipaji vipya kwenye filamu kupitia kampuni yake ya Masauti.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents