Burudani ya Michezo Live

Nas tatu aliyekuwa kundi moja Jux na Kamikaze atoa ngoma akimshirikisha G Bway na Mee Brown “Nifanyaje” – Video

Nas tatu aliyekuwa kundi moja Jux na Kamikaze atoa ngoma akimshirikisha G Bway na Mee Brown "Nifanyaje" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nas Tatu aliyekuwa akifanya muziki kwenye kundi la WAKACHA lililoundwa na Jux pamoja Nas tatu na Kamikaze ameachia video ya wimbo mpya akishirikiana na G Bway na Mee Brown.

Nas Tatu ameachia video hiyo akiifanya kwa Producer Yogo beats huku video ikifanywa na director_a_plus & @directorbeel na kuwekewa rangi na nickdizzorusule

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW