Videos
New Video: Genevieve – Bonnie & Clyde
Miss Tanzania 2010 ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo cha IFM, Genevieve ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bonnie & Clyde’. Imeongozwa na Ivan na na wimbo umetayarishwa na Tris, hii ni kazi yake ya pili baada ya ‘Nana’ aliyoiachia mwezi April mwaka huu.