New Video: Jolly Twins – Uweponi Mwako

Ukitaja miongoni mwa Waimbaji wanaofanya vizuri kwa sasa ndani ya Gospel Tanzania huwezi kuwaacha Jolly Twins ambao awali waliotoa wimbo wao na Godluck Gozbert ‘Baba eeeh’ ambao ulifanya vizuri. Leo August 4, 2020 wametuletea ‘Uweponi mwako’  imetayarishwa nchini Australi ambapo ndipo wanaishi karibu kuitazama.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW