Habari

Orijino Komedi leo kusaini deal mpya ya usimamizi + picha ya ghorofa jipya la Masanja

Kundi la wachekeshaji wa kundi la Orijino Komedi leo linasainia mkataba mpya wa menejimenti. Muda huu waigizaji wa kundi hilo wapo Serena Hotel jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari.

654d9e20d33111e2b48222000a9f1915_7
Waandishi wa habari wakiwa kwenye hoteli ya Serena ambapo OK watasaini mkataba na management mpya

Picha za tukio hilo tutakuletea baadaye.

Wakati huo huo, Masanja Mkandamizaji ameonesha picha ya nyumba yake mpya ya ghorofa moja iliyopo jijini Dar es Salaam. Masanja ameionesha picha hiyo kupitia Instagrama na kuandika: Glory be to God.

957235f6cfb811e2855722000aa800e1_7

Licha ya kupata fedha kutokana na kazi zao za usanii, wasanii wengi wa Orijino Komedi akiwemo Masanja ni wakulima wazuri.

15cebfd4cee311e2984e22000a9d0de0_7
Masanja akiwavuna mpunga aliolima huko Mbarali

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents