Videos

Video+Audio: Wyre alivyomuimbisha Kiswahili Alaine kwenye ‘Nakupenda Pia’

Ameshawahi kumuimbisha Cecile kwenye remix ya She Say Dat, ndugu wa Morgan Heritage, Gramps na Peter kwenye Guarantee na sasa ni zamu ya Wyre aka Lovechild kumuimbisha Kiswahili malkia wa Dancehall na Reggae wa Jamaica, Alaine Laughton kwenye Nakupenda Pia.

Ilimlazimu Wyre kusafiri hadi Kingston Jamaica kwenda kufanya video ya wimbo ya wimbo huu ambayo ina vipande vingine vya jijini Nairobi pia. Katika mistari ya verse ya Alaine, anasikika akisema kua Wyre amemfundisha Kiswahili na yeye kusema mbele kuwa atamfundisha Patou ambayo hata hivyo Wyre anaimudu vyema tayari.

Hongera kwa Wyre kuwa balozi mzuri wa Kiswahili duniani. Download wimbo huo hapa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents