Picha
Photos: Big Brother Africa Stargame Launch Party
Usiku wa jana, jumba la Big Brother Africa lilifunguliwa rasmi tayari kuanza mchezo wa Stargame ambamo watanzania wawili, Hilda na Julio wanaiwakilisha nchi yetu. Macelebs na waalikwa kibao walishiriki kwenye shughuli iliyoandaliwa na Multichoice Tanzania kuwasindikiza washiriki wetu na kuwapa support.
Cheki Picha hapa,