Burudani
New Song: Nuru ft Ngwair – Supastaa
Msanii Nuru ambaye anajulikana kwa nyimbo zake kama Walimwengu, Msela, Muhogo Andazi anawaletea kibao chake kipya ambacho kinaitwa Supastaa!
Video shooting ya wimbo itafanyika hivi karibuni, kwa sasa Nuru yupo nje ya nchi kikazi na anategemea kurudi very soon kwa ajili ya kutoa kideo cha Supastaa.
Beat ya wimbo huu ilitengenezwa AM Records kwa producer Maneck lakini the final mixing na vocals recording ya Nuru zilifanyika Stockholm, Sweden by JoeVibes Productions.