Videos

New Video: Mboni Yangu – Wimbo wa uhamasishaji wa kumchangia Sajuki

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=eATtynT1zc8[/youtube] Official Video by Razack 4D: Wimbo umeshirikisha mastaa wa kibongo kama Ali Kiba, Wema Sepetu, Mwana FA, Professor Jay, Mzee Yusuph, Chidi Beenz, Fid Q, Afande Sele, Amini, Ditto, Madee, Peter Msechu, Dina Marios na wengine wengi.

Mchangie Sajuki kwa ajili ya matibabu yake kupitia simu ya mkononi kwa kutuma kwenye Tigopesa namba 0713 666 113 au kwenye akaunti namba 050000003047 katika Benki ya Akiba Commercial yenye jina la Wastara Juma Issa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents