Bongo5 ExclusivesPicha

Photos: Breeze Party ilivyofana

Hip-Hop sensatinal Diva kutoka area code 256, Keko kutoka Kampala, Uganda, leo ameweza kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki wake katika shoo ambayo iliandaliwa xclusively kwa mafans wake na Radio ya Choice 100.6 katika fukwe za hoteli ya kitalii Kunduchi Beach Hotel, pembeni kidogo ,mwa jiji la Dar-Es-Salaam. Shoo hiyo iliandaliwa kupitia kipindi cha
Kama ilivyo kawaida yetu, roving camera ya bongo5.com ilikuwepo eneo la tukio kukupa update ya what went down out there.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents