Bongo MoviePicha

Photos: Wema Na Omotola Jalade Watembelea Mitindo House

Jana Mchana Muigizaji wa filamu wa kitanzania Wema Sepetu pamoja na Mgeni wake
Omotola Jalade kutoka Nigeria ambaye yupo nchini kwa mwaliko maalum wa mcheza filamu
wa Kitanzania Wema Sepetu walitembelea Kituo cha kuleleaa watoto wanaoishi na virusi
vya ukimwi Mitindo House ambapo waliwachukua watoto hao na kwenda kutembelea nyumba
ya wema kabla ya kwenda kushinda nao Girraffe Hotel pamoja na kucheza nao na
kukutana na Ma fans wa Wema na Omotola

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents