Bongo Movie

Picha: Kinachoendelea kwenye ndoa ya Shamsa Ford muda huu

Haya ni baadhii ya matukio ya ndoa ya malkia wa filamu Shamsa Ford ambayo inatarajia kufanyika muda mfupi ujao hapa nyumbani kwao Sinza Afrikasana jijini Dar es salaam.
IMG_0743
Shamsa akishuka kwenye gari tayari kwa kufunga ndoa

Mwigizaji huyo ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya filamu anafunga ndoa na mfanyabiashara wa nguo, Chidi Mapenzi. Angalia picha
Dully Sykes
Dully Sykes akiwa eneo la tukio
Shamsa akimeremeta
Mke mtarajiwa wa Chidi Mapenzi

IMG_0722 - Copy

IMG_0723 - Copy

IMG_0724 - Copy

IMG_0726 - Copy

IMG_0727 - Copy

IMG_0728

IMG_0730

IMG_0732

IMG_0734

IMG_0743

IMG_0744

IMG_0745

IMG_0751

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents