Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Picha: Kivazi cha Wendy Williams cha zua gumzo mtandaoni

Mara nyingi Wendy Williams amekuwa akikosoa watu kupitia kipindi chake cha Tv hususani mastaaa, ila sasa hivi ni zamu yake kwa kukosolewa katika mitandao.

Hii ni baada ya picha zake kunaswa akiwa na kivazi cha ufukweni maeneo ya Barbados na mumewe Kevin. Picha hizi za Wendy zimeonekana zikitrend katika mitandao mbalimbali wakimponda mwili wake na kivazi hicho. Kwa sasa mrembo huyo anajitayarisha kwa msimu mpya wa kipindi chake cha Wendy Talk Show kitakacho anza Septemba 18, mwaka huu.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW