Picha

Picha: Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mkewe washeherekea miaka 40 ya ndoa na kurejea kiapo

Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mkewe Janet Museveni Jumamosi iliyopita (August 24) walisheherekea maadhimisho ya miaka 40 ya ndoa kwa kurejea kiapo cha ndoa katika kanisa la Nshwere huko Uganda.

Museveni-1

Rais Museveni na mkewe walimshukuru Mungu kwa miaka 40 ya ndoa yao na kusema hiyo ni safari waliyoianza wakiwa wawili lakini sasa ni familia ya watu 23.

Tazama picha

museveni-2

Museveni-3

Museveni-4

Museveni-5

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents