Picha

Picha: Range Rover-Autobiography ‘Long-wheelbase’ kuzinduliwa (November), thamani yake ni zaidi ya mil 350

By  | 

Kampuni ya Jaguar Land Rover ya Uingereza inatarajia kuzindua toleo jipya la gari ya kifahari Range Rover Autobiography ‘Long-wheelbase’ inayosemekana kuwa ndio ya gharama kubwa zaidi kwa kampuni hiyo kuwahi kutengeneza, ambayo ni £140,000 sawa na zaidi ya shilingi mil 350.

range1

Range Rover Autobiography mpya ina viti vya kisasa vyenye muonekano wa vile vya daraja la kwanza la kwenye ndege, vyote vikiwa na TV kwa nyuma.

range2

Range Rover Autography inatarajiwa kuzinduliwa November 5 mwaka huu katika maonesho ya kimataifa ya ‘Dubai Motor Show’.

range6

range4

range3

range5

range7

Source: Mail Online

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments