Burudani

Prezzo atoa wimbo mpya unaoelezea maisha yake ‘Celebration Of Life’ (Audio)

Jackson Makini kutoka 254 amemezungumza mengi katika wimbo huu wenye dakika 4:10, lakini yote ni kuhusu…..wait! “Wordup! I go by the name RapCellency Prezzo…and this right here are my thoughts” yes! huo ni utangulizi wa ‘sherehe ya maisha ya Prezzo’, I mean hiyo ni Intro ya wimbo mpya wa Prezzo ‘Celebration on Life’. Ingia kuisikiliza

prezzo new song

Wimbo huu umetengenezwa katika studio za Homeboys zilizoko jijini Nairobi na producer aliyehusika ni Mtanzania kutoka Rock City Mwanza aitwaye Sappy.

http://youtu.be/UGwyj8UL-ho

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents