Rais Magufuli ameambatana na mgombea mwenza Mama Samia Suluhu kuchukua fomu ya Urais NEC Dodoma (+Video)

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mpainduzi CCM  Dkt. john Pombe Magufuli akiwa ameambatana na mgombea mwenza mama Samia Suluhu Hassan leo Agosti 6, 2020 amechukua fomu ya kugombea Urais katika ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa Jijini Dodoma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW