Siasa
JPM: Tulimtanguliza Mungu wakati wa Corona tukafunga siku 3 leo hakuna mwenye Corona, unabanana tu hata Kitandani (+Video)
“Tulimtanguliza Mungu wakati wa Corona tukafunga siku 3, tukamshukuru siku 3 leo hakuna mwenye Corona hapa tunabanana tu hata Kitandani bananeni tu vizuri, ninasema hivyo kwa sababu aliyenitangulia amesema kampeni tutafanya Kitanda kwa Kitanda”
https://www.youtube.com/watch?v=8Iz8WbB-IgM
https://www.youtube.com/watch?v=MPx4HvX1-y0&t=5s
https://www.youtube.com/watch?v=KzabcElboeY